BISCUTI ZENYE UMBO KAMA TUNDA LA PEACH (PEACH COOKIES)
Mahitaji
Unga wa ngano vikombe 4 /500 gms
Baking Powder – Kjk 1 kikubwa
Mayai 3
Sukari – Kikombe 1 na ¼
Maziwa 1/2 kikombe
Siagi ¼ kikombe – 113gms (iloyayushwa)
Arki ya vanilla vijiko 2 vidogo
Maganda ya ma machungwa kjk 1 kikubwa
( kama utapenda)
Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/
https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/
Video intro Zanzibar Spice marketplace by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?search_query=farhat+yummy
Video Intro Mombasa spice marketplace by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en
Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world